L ligimilo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 301 Reaction score 75 Dec 27, 2015 #1 Nauza Rav 4 namba C ya mwaka 1998
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,477 Reaction score 3,641 Dec 27, 2015 #2 wamichosho said: Nauza Rav 4 namba C ya mwaka 1998 Click to expand... Kamata 8m
U umla JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 1,166 Reaction score 558 Dec 27, 2015 #3 libeva said: Kamata 8m Click to expand... mkuu mbona unajipangia bei...utaibiwa subiri atoe bei kwanza
libeva said: Kamata 8m Click to expand... mkuu mbona unajipangia bei...utaibiwa subiri atoe bei kwanza
Tunzo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 4,125 Reaction score 2,449 Dec 27, 2015 #4 umla said: mkuu mbona unajipangia bei...utaibiwa subiri atoe bei kwanza Click to expand... Mkuu hao ni wale watu hawana hata kitu wapumbamvu sana hao anasema m8 kumbe nauli ya daladala anakopa, pumbavu huyo
umla said: mkuu mbona unajipangia bei...utaibiwa subiri atoe bei kwanza Click to expand... Mkuu hao ni wale watu hawana hata kitu wapumbamvu sana hao anasema m8 kumbe nauli ya daladala anakopa, pumbavu huyo
cooper JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 430 Reaction score 110 Dec 27, 2015 #5 Weka na kapicha na bei mkuu.mimi natafuta Rav4
K king90 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 368 Reaction score 221 Jan 1, 2016 #6 Sasa hujaweka bei unategemea watu wasijipangie bei? Jifunzeni kuweka matangazo yaliyo kamilika acheni ubabaishaji.
Sasa hujaweka bei unategemea watu wasijipangie bei? Jifunzeni kuweka matangazo yaliyo kamilika acheni ubabaishaji.
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Jan 2, 2016 #7 Tunzo said: Mkuu hao ni wale watu hawana hata kitu wapumbamvu sana hao anasema m8 kumbe nauli ya daladala anakopa, pumbavu huyo Click to expand... Mkuu upumbavu wake nini? Mbona unahukumu watu, wakati wewe huwajui watu wote? Mtoa tangazo kaweka bei? Unajuaje labda ni mnada? Acha hizo
Tunzo said: Mkuu hao ni wale watu hawana hata kitu wapumbamvu sana hao anasema m8 kumbe nauli ya daladala anakopa, pumbavu huyo Click to expand... Mkuu upumbavu wake nini? Mbona unahukumu watu, wakati wewe huwajui watu wote? Mtoa tangazo kaweka bei? Unajuaje labda ni mnada? Acha hizo
I iphone 18 promax JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,921 Reaction score 2,161 Jan 2, 2016 #8 wamichosho said: Nauza Rav 4 namba C ya mwaka 1998 Click to expand... Tangazo gani hili