Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,602
Asee naomba namba yako ya simuBei ni Tsh milioni tisa ila maongezi yapo kama unahitaji njoo inbox
Weka namba ya simu kaka... tufanye biasharaIpo ktk hali nzuri kwa kifupi haina tatizo lolote na unaweza kuja na fundi kukagua ipo magomeni.View attachment 736238View attachment 736239View attachment 736240
Bei million9 maongezi yapo kwa atakayekuwa tayari.
Soma vizuri kwenye ujumbe wake, mfuate inbox naamini hata hiyo namba utaipata hukoWeka namba ya simu kaka... tufanye biashara
Habari ya siku mzee wa BAN?Soma vizuri kwenye ujumbe wake, mfuate inbox naamini hata hiyo namba utaipata huko
Ban inakunyemeleaSoma vizuri kwenye ujumbe wake, mfuate inbox naamini hata hiyo namba utaipata huko
Ahsante kwa kumkumbusha.Weka data za Gari vizuri...
Tangazo la Gari halina Date of manufacture, CC, Kilometers, na vitu vya ziada e.g tyre, rim, radio, AC, vibali etc.Ahsante kwa kumkumbusha.
Tangazo la Gari halina Date of manufacture, CC, Kilometers, na vitu vya ziada e.g tyre, rim, radio, AC, vibali etc.Mkuu sijui anadhani anauza madela
Bado ipo?Mm sio muuzaji wa magari hii ni gari yangu mwenyewe so kama unahitaji njoo pm maneno mengi ya nini?
Nishauza na hela nishaimaliza najuta kwann niliiuzaBado ipo?
Teh teh .....pesa ndg yake ni matumiziNishauza na hela nishaimaliza najuta kwann niliiuza