Year; 2000
mileage; 75000kms
condition; outstanding
tr; automatic
colour; metallic black
rd licence; till sept 2015
all duties paid, imetembea tz mwezi mmoja na kwa sasa ipo imepakiwa tu
price 20M
more infos, nitumie pm
no time wasters tafadhali
Nikiagiza Harrier kama yako iwe kutoka BeFOrward, SBT, TradeCar, nk haifiki Milioni 15. Yaani una wazimu wewe. TAMAAAA MBAYAAAAA: Unadhani Harrier sasa hivi ni kama zamani kwamba ipo juu hivyo? Tena ya Mwaka 2000? Hahahah, kawauzie wa mikoani huko wasiojua thamani za magari.