Wustenfuchs JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 313 Reaction score 170 Aug 21, 2014 #1 Gari ipo katika hali nzuri. Kila kitu kinafanya kazi kwa maelezo zaidi piga 0657113536
Wustenfuchs JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 313 Reaction score 170 Aug 21, 2014 Thread starter #2 Picha za Altezza Attachments 1408640499415.jpg 100.2 KB · Views: 678 1408640611836.jpg 93.5 KB · Views: 533 1408640629976.jpg 74.7 KB · Views: 495
V vunjajungu JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 576 Reaction score 246 Aug 21, 2014 #4 hizi gari mbona watu wanaziuza sana?mmh!ngastuka.
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,112 Reaction score 28,009 Aug 21, 2014 #6 Ni gari nzuri ila kwenye ulaji wa mafuta nia lazima uwe una kipato cha kuweza kugharimia.
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Aug 24, 2014 #7 weka bei kwanza
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Aug 25, 2014 #8 Hizi Gari ni tamu zikiwa manual kwa ajili ya long trip. Ukipata 6 cylinder ndo haswaaaaaaaa. Ila kwa misele ya town unahitaji 4 cylinder Kama unaipenda sana hii Gari.
Hizi Gari ni tamu zikiwa manual kwa ajili ya long trip. Ukipata 6 cylinder ndo haswaaaaaaaa. Ila kwa misele ya town unahitaji 4 cylinder Kama unaipenda sana hii Gari.
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,549 Aug 25, 2014 #9 Mbona hujaweka taarifa muhimu kuliko zote? I mean bei.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,768 Reaction score 55,483 Aug 25, 2014 #10 Bei maelewano ama? Weka ya kuanzia basi
Wustenfuchs JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 313 Reaction score 170 Sep 30, 2014 Thread starter #11 Bei 8.5mil Cc 1980 Km 120k vvt-i engine 6 cyl Auto