30000gharama za kioo na Kubadilisha hicho kioo bei gani?
Haitaweza fika kamweikifika 52 fanya kunitag tumalizane fasta
Sikutaka kuanzia juu kama machinga, Ndio Maana Nimeweka bei Hyo kulingana na hali iliyokua nayo then anae jua huo simu Atajua jins Gani nilivyoweka uwianoPunguza watu wabebe
Nilinunua Mpya sept last year ,Shida tuuu ni hapo niliiogonga bahat mbaya kwenye kiooUliinunua. Dukani au kwa. MTU?
?
Kama ni dukani uliinunua kwa sh ngapi?
Na kwa sasa dukani inauzwaje?
Na unamuda gani tangu uwe nayo?
Ukijibu maswali hayo yatatupelekea kupata majibu juu ya bei yako HIYO uliyoweka kama inauwiano
mbona hii kama simu yangu niliyoporwa juzi juzi hapa?
Nichek kwenye no Hyo tuongeeMkuu 70000 hii hapa chukua, nipo kibiti niifuate sasa hivi
50k30000