LJ BLOG Senior Member Joined Jul 24, 2011 Posts 194 Reaction score 154 Nov 25, 2014 #1 Nauza suzuki escudo bei ni milioni 6.5. Na Hizi ndio details za hii suzuki; Registration number: t 746 aat make: suzuki model: escudo model number: tdiiw body type: station wagon color: blue metallic year of manufacture:1995 engine capacity: 1998 cc fuel used: petrol Halafu ni 4wd, transimission ni automatic. Gari hii ipo kwenye hali nzuri kabisa kabisa na imeshafanyiwa service.. Hauhitaji kubadili kitu zaidi ya kulipia insuarance ambayo imeisha hivi karibu na road license iliyoisha tarehe 20 November 2014. Tairi Mkataba. Sababu ya kuuza ni kwamba nimenunua gari nyingine Kwa mawasiliano zaidi piga namba hii: 0712 390 200
Nauza suzuki escudo bei ni milioni 6.5. Na Hizi ndio details za hii suzuki; Registration number: t 746 aat make: suzuki model: escudo model number: tdiiw body type: station wagon color: blue metallic year of manufacture:1995 engine capacity: 1998 cc fuel used: petrol Halafu ni 4wd, transimission ni automatic. Gari hii ipo kwenye hali nzuri kabisa kabisa na imeshafanyiwa service.. Hauhitaji kubadili kitu zaidi ya kulipia insuarance ambayo imeisha hivi karibu na road license iliyoisha tarehe 20 November 2014. Tairi Mkataba. Sababu ya kuuza ni kwamba nimenunua gari nyingine Kwa mawasiliano zaidi piga namba hii: 0712 390 200
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Nov 25, 2014 #2 Weka picha ya hiyo gari nyingine uliyonunua
Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,788 Nov 25, 2014 #3 Nokla said: Weka picha ya hiyo gari nyingine uliyonunua Click to expand... kwani kasema anauza picha?
Nokla said: Weka picha ya hiyo gari nyingine uliyonunua Click to expand... kwani kasema anauza picha?
Yuzhonai JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 303 Reaction score 69 Nov 25, 2014 #4 Nokla said: Weka picha ya hiyo gari nyingine uliyonunua Click to expand... Kazi ipo
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 12,962 Reaction score 14,789 Nov 25, 2014 #5 walahi maelezo yako mutreeb.
Opera Min JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 890 Reaction score 659 Nov 25, 2014 #6 Nokla said: Weka picha ya hiyo gari nyingine uliyonunua Click to expand... kazi kweli kweli.
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,545 Nov 25, 2014 #7 Nokla said: Weka picha ya hiyo gari nyingine uliyonunua Click to expand... Kwani amekwambia anauza gari aliyonunua?!
Nokla said: Weka picha ya hiyo gari nyingine uliyonunua Click to expand... Kwani amekwambia anauza gari aliyonunua?!
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,545 Nov 25, 2014 #8 Mkuu LJ BLOG, Maelezo mazuri matangazo ya biashara ndivyo yanapaswa kuwa hivi, hope utapata mteja. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M medicated Member Joined Nov 25, 2014 Posts 35 Reaction score 2 Nov 25, 2014 #9 Haipungui hata kidogo mkuu??
LJ BLOG Senior Member Joined Jul 24, 2011 Posts 194 Reaction score 154 Nov 25, 2014 Thread starter #10 hippocratessocrates said: Mkuu LJ BLOG, Maelezo mazuri matangazo ya biashara ndivyo yanapaswa kuwa hivi, hope utapata mteja. Click to expand... Asante Mkuu na mimi naamini hivyo
hippocratessocrates said: Mkuu LJ BLOG, Maelezo mazuri matangazo ya biashara ndivyo yanapaswa kuwa hivi, hope utapata mteja. Click to expand... Asante Mkuu na mimi naamini hivyo
LJ BLOG Senior Member Joined Jul 24, 2011 Posts 194 Reaction score 154 Nov 25, 2014 Thread starter #11 medicated said: Haipungui hata kidogo mkuu?? Click to expand... Inapungua na kama upo serious tuwasiliane kwa namba hiyo mkuu 0712 390 200 cc medicated
medicated said: Haipungui hata kidogo mkuu?? Click to expand... Inapungua na kama upo serious tuwasiliane kwa namba hiyo mkuu 0712 390 200 cc medicated