Nauza sungura

chenera

Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
10
Reaction score
10
Nauza sungura wa kisasa mmoja 30,000 nipo mbezi makabe Dar
Call/whatsapp 0753534514
 
Biashara za msimu watu wamedanganywa wamefuga kwa wingi soko hakuna
 
Ahsante kwa taarifa.

Sungura wana kazi gani?
 
Biashara za msimu watu wamedanganywa wamefuga kwa wingi soko hakuna
Tatizo lako umekariri kwamba kila kitu ni cha msimu na kingine wewe una ubinafsi, haiwezekani wewe umekaa huko uliko unaanza kusema hakuna wateja, kakuambia nani???????????..........Kitendo cha huyu ndugu kuweka tangazo hapa jf ndio mwanzo wa kupata wateja ambao wewe unasema huwaoni. Pole sana endelea na kukariri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…