dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,832
- 20,350
Sawa comradeNgoja wanakuja mkuu. Wasiponunua mi ntanunua vyote
Hiyo hailipi kamanda kabisaSabufa 40000 kama uko tayari nikucheki.
Kia ya kilimanjaro auHalafu tatizo upo dar mimi nipo Kia joh
Elfu20?au umekosea comrade kama hiyo hailipiKama upo Dsm hiyo feni nina 20,0000,nicheki inbox
Kwenye nini, kamandaNakuongeza teni mkuu iwe 50k
Hapana, ni matumiz yako tuHizo feni nzuri sana zikiwa mpya.Baada ya mwaka mmoja wa matumizi jiandae kutafuta nyingine
BufaKwenye nini, kamanda
Daah mambo ya watt hata sijui ngapSabufa ina watt ngapi?
Ina radio na pia inatumia Bluetooth +flashKula sixty kwa woofer kama Ina redio