Nauza story za kuchezea muvi..(bongo movie script)

andy mchokozi

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
42
Reaction score
5
Je. wewe ni muigizaji Au mfadhili wa kikundi chochote cha sanaa ya bongo muvi?
wahi sasa kwani nauza story za kuchezea muvi kwa bei chee kabisa.
zipo story za muvi za kuchekesha, mapenzi, maisha, mateso, manyanyaso na hata za kusisimua na kukuliza kwani mie ni mwandishi ambaye nimeshaandikia story nyingi katika gazeti la Mwananchi ikiwa na story ya SITAKI TENA.
kama utanihitaji usisite ni Pm au nipigie,
0713133633
andrew carlos.
 
Reactions: 3D.
Movie gani uliyowahi andika ika-hit?

kaka kwa sasa bado haijaingia sokoni, ila ipo ya Jb itaenda kwa jina la Nalivua Pendo ipo pale Steps kwa usibitisho nenda pale ukajionee au ikishasambazwa kuwa wa kwanza kujionea Story script ameandika nan?
 
Reactions: 3D.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…