Nauza smart TV TCL inch 55..

Wakuu nmepatwa na shida nauza TV yangu aina ya Tcl..
Nmeitumia mwezi mmoja tu..
Nmeirudisha ndani ya box lake
Bado mpyaa
Bei ni 1700,000
0713799522
Ina warranty na kila kitu chake

tuonyeshe tv hatutaki box kijana wangu piga picha na ufute hizo
 
Sijaelewa kabisaaaaaaa!!sasa sijui nimacho yangu?au akili yangu ndo inachelewa kufikia malengo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Maneno yako naona kama yamekaribiana na ukweli. TV katumia mwezi mmoja hajabandua hata vibandiko?? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Kuna kitu kisicho cha kawaida kuhusu hii TV

Nakumbuka zilikuja picha za box pekee huku TV ikiwa haionekani

Sasa tena TV imetumika mwezi mmoja ila hata zile karatasi hwzijabanduliwa

Huenda mleta mada kaiokota TV.Au kama kanunua aweke picha ya risiti hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…