Nauza simu

sh ngapi? simu nzuri hii hata teja akikwapua anakurudishia
 
Ooyooo ni safi na haina presha wala B P na hata kama kibaka anataka kuchomoa basi unampa bila ya purukushani maana wana visu na nyembe kwenye mkanda wa suruwali hao ni kiboko ya machori
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…