Hii imekaa poa. Sasa Kaka jitahidi unapamba mpaka unamvutia mtu na Bei zako unasema labda Kuna punguzo la % ngapi,pia na hizo simu Ni za mwaka gani since manufactured from industry Mana sio kuwa Ni gari tutauliza mileage. Nadhani na betri utakuwa tayari umetest hata tano ivi unacheki Ile survivor yake na kukaa na Moto,ukiwa unapiga video ama ukiwa kwenye internet.
Yaani uwe genuine na sio Ile Kama umelazimishwa. Yaani mtu ukikaa kwa passion yako Mambo yanakuwa faya. Navyojua hela Ni ngumu kupatikana so you've to hustle in one way or another.
Is 4g or something like 5g.
Samahani bana mie Ni loser mzuri Hala mtaani jf kwa mtani wangu melo.
Am just a dumb$$ ,am not fuckd off, don't give a fck, even myself I don't give a fckk why I wrote this. Am lost.