Habar wanabodi!
Niende mbali mm sio mwanasiasa wadau nauza simu ya tecno nimeitumia takriban miez 4 haina ufa wowotr ni nzima kabisaa pia ukiiona ni kama mpya.
Ina scrren procteter chaji kama huwashi data hovyo siku 2/3 ukiwasha data siku moja.
Bei ni sh 60000 nitafute kupitia namba 0652810166 piga sina sms za kujibu.
Au nitafute whatsapp 0623961833.
Asubuh njema nipo dar es salaam