Nauza simu Samsung s6 edge plus

baba_

Senior Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
121
Reaction score
86
350k 0719090094 mfuniko wanyuma umecrack kdg kubadilisha 15k
 
Kama hiyo simu haina tatizo lolote la kiufundi na kama haotojali nikupe TSH. Laki moja pamoja na Samsung galaxy J1 ACE ile ya 4G ambayo haina tatizo lolote! Nasisitiza KAMA HAOTOJALI!
 
Asante boss ila nashda tu na pesa
Kama hiyo simu haina tatizo lolote la kiufundi na kama haotojali nikupe TSH. Laki moja pamoja na Samsung galaxy J1 ACE ile ya 4G ambayo haina tatizo lolote! Nasisitiza KAMA HAOTOJALI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…