Allute Iddi
Member
- Jun 23, 2016
- 22
- 22
Aisee! Oneplus, simu ya ndoto yangu. Niliwahi kuwa na Oneplus One, hongera sana kwa vijana wa Msamvu Morogoro wakaondoka nayo.Simu kali kabisa ipo kwenye Good Condition used for 2 month haina michubuko.. Price 900,000/=
Internal memory 128Gb
Ram 6Gb
Primary camera 16mp
Secondary camera 16mp
Dual sim
Android 6.1
Price 900,000/=
View attachment 459724View attachment 459726View attachment 459727View attachment 459728View attachment 459729
January hii makato bodi 15%, ngoja tulipe madeni kwanza. Nakomaa na ka tecno ka 70k.Daaaa haya bana
Ha ha haaa mkuu vijana wakachukua simu yao daaa aisee pole sana mkuuAisee! Oneplus, simu ya ndoto yangu. Niliwahi kuwa na Oneplus One, hongera sana kwa vijana wa Msamvu Morogoro wakaondoka nayo.
Oneplus, hiyo ndio simu hasa. Tatizo, mfukoni nimekaukiwa.
Mkuu hela yako ni nyingi sana ila kwa thamani ya hii simu haitoshiChukua 600 mkuu kesho tumalize biashara
Ntakupa na USB-C Maana hiyo ndio ngumu kidogo kupata mtaaniKwa charge VP mkuu? Nijuze faster niseme bei yang
Daaa mkuu kuna wa 600k nimemrudishaKula 300k nichek pm
Ha ha haaaaaaWe nae unaonekana ni mshamba kuliko mimi..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm nipo dar kama unamtu unae mwamini hapa dar unaweza kum connect na mimi mkuuNitaipataje hiyo one plus' nipo mikoa ya kati?
Ok vipi kuhusu endurance rating yake ?Non-removable Li-Ion 3400 mAh battery
Wame improve sana kwenye battery ikiwa full charge asubuhi hiyo ni mpaka jioni... Na hapo tuseme huwa nakuwa online data inakuwa on 80% per day or moreOk vipi kuhusu endurance rating yake ?