Nauza simu One plus 3t

Massawe909

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
310
Reaction score
472
Simu kali kabisa ipo kwenye Good Condition used for 2 month haina michubuko.. Price 900,000/=
Internal memory 128Gb
Ram 6Gb
Primary camera 16mp
Secondary camera 16mp
Dual sim
Android 6.1
Price 900,000/=
 
Specification tamu ila brand itakuhangusha...
Ukishuka mpaka 400k ni pm tuyajenge.
 
Mkuu one plus ni simu nzuri na brand inaheshimika sana huko nje.... Hiyo bei uliyoweka ni ya akina Tecno..... CC Chief-Mkwawa
Watu wanajua sumsung na iphone tu hii simu ni miungoni mwa simu bora kabisa mwanzoni mwaka huu 2017
 
Specification tamu ila brand itakuhangusha...
Ukishuka mpaka 400k ni pm tuyajenge.
Hahahaaaa, wewe, unazijua simu lakini? Au unafikiri hiyo ni itel au tecno, hebu pitia gsm arena au ebay uione hiyo simu, au umekariri simu ni sumsung,iphone au nokia? Mkuu kuna simu hazina majina lakini hata sumsung hawaikimbizi kama brand za exiomy,wengine wanauzia majina tu sasa
 
Nilizijua samsung na iphone bila kupitia gsm arena..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…