Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
Hiyo pesa kubwa sana,Tecno Spark ipo sokoni,mpya kabisa ni 195000.Nauza Simu aina ya tecno c8 Simu haina tatizo lolote na Simu imetumika kwa miezi sita tu Simu ina uwezo mzuri sana katika utendaji kazi so hautajutia kuinunua na ukiitumia ukagundua tatizo lolote utarudishiwa hela yako bei ni tsh 220,000 na mawasiliano ni 0715 505115. 0753505115 au 0689330820.
Kaka mm nauza c8 na sio tecno spark so kuwa mwelewa anaetaka spark mpeleke dukani.Hiyo pesa kubwa sana,Tecno Spark ipo sokoni,mpya kabisa ni 195000.
Hiyo labda useme 120000 nikutafutie mtu sasa hivi!!!
ngoja wenye mitaji yao waje..OK sawa..!
Iyo spark K,7auHiyo pesa kubwa sana,Tecno Spark ipo sokoni,mpya kabisa ni 195000.
Hiyo labda useme 120000 nikutafutie mtu sasa hivi!!!
Oi mbona kmy au umepata sm nyingine nnIyo spark K,7au