Nauza simbilisi (guinea pigs)

si unajua mie msukuma wa shinyanga sijui kama hawa wadudu wanaliwa na ugali, mi nkahisi labda ni aina ya panya wa kufanyia practical SUA
[emoji1] [emoji1] hapa mkuu hiyo kitu tamu sana ikiandaliwa kwa kubanika ni kama kuku.
 
[emoji1] [emoji1] hapa mkuu hiyo kitu tamu sana ikiandaliwa kwa kubanika ni kama kuku.
not to that extent!!! appetite ya kumshughulikia huyo mdudu itatoka wapi? [emoji87] [emoji87] [emoji87] huyo ni jamii ya panyabuku
 
not to that extent!!! appetite ya kumshughulikia huyo mdudu itatoka wapi? [emoji87] [emoji87] [emoji87] huyo ni jamii ya panyabuku
Hata wengine ukiwaonesha unavyobugia michembe watadhani unakula karatasi. Na jirani zenu wanaobugia senene mwingine atasema anakula funza. Tembea uone, magari!
 
Hawa wanyama kinyesi chake ni Mbolea Nzuri sana,tulikuwa tunatumia kukuzia mboga bustanini.
Ukifuga hao halafu pakawepo paka ambaye hawezi kuwatofautisha Na panya andika umeumia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…