C Constantine1 Member Joined Jun 14, 2016 Posts 31 Reaction score 7 Oct 23, 2016 #1 Heka 300 zipo eneo zuri lenye rutuba na maji bei Ni 25mil.mazungumzo yapo shamba lipo kitongoji cha lunyele,kijiji cha mtetema kata ya mpepo wilaya ya nyasa . Miji ya karibu Ni mbinga na mbambabay. mawasiliano yangu Ni 0754524206 picha ya shamba ipo
Heka 300 zipo eneo zuri lenye rutuba na maji bei Ni 25mil.mazungumzo yapo shamba lipo kitongoji cha lunyele,kijiji cha mtetema kata ya mpepo wilaya ya nyasa . Miji ya karibu Ni mbinga na mbambabay. mawasiliano yangu Ni 0754524206 picha ya shamba ipo
jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,016 Oct 25, 2016 #2 Panafaa kwa kilimo gani mkuu?
C Constantine1 Member Joined Jun 14, 2016 Posts 31 Reaction score 7 Oct 25, 2016 Thread starter #3 jembelamkono said: Panafaa kwa kilimo gani mkuu? Click to expand... maharage,mahindi,kahawa,migomba