Nauza shamba kwa bei rahisi

Juma wa Juma

Senior Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
150
Reaction score
221
Ndugu zangu nauza shamba la heka 5 bei milioni 2,lina mihogo heka 3,minazi 80, na miembe 20 na kuna eneo kubwa limepandwa mahindi ya muda mfupi...Shamba lipo KIBITI maelewano yao
 
Ulianza vizuri ila umaliziaji wa Story haukupokelewa vizuri.
 
Ndugu zangu nauza shamba la heka 5 bei milioni 2,lina mihogo heka 3,minazi 80, na miembe 20 na kuna eneo kubwa limepandwa mahindi ya muda mfupi...Shamba lipo KIBITI maelewano yao
namba ya simu kk tufanye biashara
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…