Stannyford
Member
- May 17, 2019
- 10
- 5
Sii uniweke mie nikusimamie mzeyaNaingia mkoani brother kwo itabaki bila msimamizi
2.3M ila Kuna Mazungumzo boss karbu sanaBei gani vyote hivyo mkuu.
Karbu sana brotherKila la kheri...
Kodi ni 40 kwa mwezi brother ipo kibaha barabara ya morogoro ni njiani kabisa (barabara kubwa)