Wakuu Nauza Samsung Galaxy Note 3, ni original na ni kama mpya kwani imetumika kwa miezi 6 tu na haikuwa ikitumika mara zote.
Haina hitilafu yoyote na bei yake ni sh. 750,000 na Mazungumzo yapo.
Any one interested Nicheki PM
Ninahitaji hela lakini panda Kidogo Mkuu!
Ukiiona hutaamini, ni kama imenunuliwa jana tu, haina Scratch hata moja. Simu kubwa zinasumbua kubeba so muda mwingi nimekuwa Nikiitumia nikiwa home jioni so muda mwingi imekuwa ndani tu.