ChelseaBlue
Senior Member
- May 22, 2011
- 148
- 43
ingekuwa mpya ningetoa offer ya 150k sababu s3 clone sio smartphone, chkua 100k kwakuwa ni clone used..wadau nauza samsung galax s3 cloneina weeki 2
wi-fi connection net
model namba GT 193000
Vision 4.1.2 android
16 gb
NIYA KOREA WA DAHU
VABER , WHATSUP kama kawa
Camela ina flash na ipo mbele nanyuma
na nime bandika protecta ili kioo kisipate skrach
unapewa chaji na headphone na boxi lake nipped dar
bei 280,000 haina tatizo lolote maongezi yapo sim 0712690760
Nyingi sana iyo pesa lkn haina maslai mwisho 250,000ingekuwa mpya ningetoa offer ya 150k sababu s3 clone sio smartphone, chkua 100k kwakuwa ni clone used..
Una origino risiti isijekuwa kabomolewa mtu kioo cha gari ikaibiwa ina RB
Una origino risiti isijekuwa kabomolewa mtu kioo cha gari ikaibiwa ina RB
Yap risit ipo
Kwanini unaiuza?