M Mzungujr Member Joined Mar 14, 2016 Posts 13 Reaction score 6 Apr 4, 2017 #1 Rav 4 Old Model inauzwa Million 13.5 ipo katika hali nzuri Nicheki kwa 0718234465
notoriousic JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 425 Reaction score 484 Apr 4, 2017 #2 Ngoja waje wakuelekeze jinsi ya kutangaza biashara
kamanda mbigi JF-Expert Member Joined Feb 8, 2017 Posts 1,241 Reaction score 1,546 Apr 4, 2017 #3 Not bad ngoja nikusaidie kuitangaza sehemu
The Tomorrow People JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,690 Reaction score 2,853 Apr 4, 2017 #4 Too expensive
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,698 Reaction score 9,051 Apr 5, 2017 #5 namba ngapi?cc mileage mbona hujaweka
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,880 Reaction score 132,153 Apr 5, 2017 #6 mtzmweusi said: namba ngapi?cc mileage mbona hujaweka Click to expand... Mkuu Huoni plante # hiyo Ova
mtzmweusi said: namba ngapi?cc mileage mbona hujaweka Click to expand... Mkuu Huoni plante # hiyo Ova
L Leopold Rwegoshora JF-Expert Member Joined Oct 29, 2016 Posts 327 Reaction score 256 Apr 5, 2017 #7 Hiyo ni gari nzuri sana...lakini bei yako inatisha...!!!
M Mzungujr Member Joined Mar 14, 2016 Posts 13 Reaction score 6 Apr 6, 2017 Thread starter #8 Leopold Rwegoshora said: Hiyo ni gari nzuri sana...lakini bei yako inatisha...!!! Click to expand... Una bei gani wewe ?
Leopold Rwegoshora said: Hiyo ni gari nzuri sana...lakini bei yako inatisha...!!! Click to expand... Una bei gani wewe ?
M Mzungujr Member Joined Mar 14, 2016 Posts 13 Reaction score 6 Apr 6, 2017 Thread starter #9 mtzmweusi said: namba ngapi?cc mileage mbona hujaweka Click to expand... cc 1990
M Mzungujr Member Joined Mar 14, 2016 Posts 13 Reaction score 6 Apr 6, 2017 Thread starter #10 kamanda mbigi said: Not bad ngoja nikusaidie kuitangaza sehemu Click to expand... Ok
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,262 Reaction score 1,360 Apr 6, 2017 #11 Mkuu kiukweli hii gari imesimama ila tatizo unauza bei ya juu sana amabayo ndo the same bei ya kuagiza.Ukipunguza kidogo chief nipm nitaichukua
Mkuu kiukweli hii gari imesimama ila tatizo unauza bei ya juu sana amabayo ndo the same bei ya kuagiza.Ukipunguza kidogo chief nipm nitaichukua
Jongwe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 1,040 Reaction score 666 Apr 6, 2017 #12 Leopold Rwegoshora said: Hiyo ni gari nzuri sana...lakini bei yako inatisha...!!! Click to expand... Kweli kabisa. Ukiagiza nje 14M unapata
Leopold Rwegoshora said: Hiyo ni gari nzuri sana...lakini bei yako inatisha...!!! Click to expand... Kweli kabisa. Ukiagiza nje 14M unapata
Gunst JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 3,137 Reaction score 6,021 Apr 6, 2017 #13 Wamasai wa Mererani wanapenda sana hizi gari, wasiliana na watu wa Arusha utapata mteja fasta.
M Mzungujr Member Joined Mar 14, 2016 Posts 13 Reaction score 6 Apr 7, 2017 Thread starter #15 Jongwe said: Kweli kabisa. Ukiagiza nje 14M unapata Click to expand... Mwisho 12M kama unania nichek
JUAN MANUEL JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 8,324 Reaction score 17,911 Apr 7, 2017 #16 Mzungujr said: Rav 4 Old Model inauzwa Million 13.5 ipo katika hali nzuri Nicheki kwa 0718234465 View attachment 491213View attachment 491215View attachment 491216View attachment 491229View attachment 491230View attachment 491231 Click to expand... gari ya nguvu,ni imara sana,ni jembe haswa kama landcruiser
Mzungujr said: Rav 4 Old Model inauzwa Million 13.5 ipo katika hali nzuri Nicheki kwa 0718234465 View attachment 491213View attachment 491215View attachment 491216View attachment 491229View attachment 491230View attachment 491231 Click to expand... gari ya nguvu,ni imara sana,ni jembe haswa kama landcruiser
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,988 Reaction score 3,688 Apr 7, 2017 #17 Wamjini tunasemaga Bei kichaa
christelly JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,462 Reaction score 1,466 Apr 7, 2017 #18 Na million sita mkuu
K Kisamurai Member Joined Apr 4, 2014 Posts 25 Reaction score 8 Apr 7, 2017 #19 christelly said: Na million sita mkuu Click to expand... 9m mkuu ipo
K Kisamurai Member Joined Apr 4, 2014 Posts 25 Reaction score 8 Apr 7, 2017 #20 Mzungujr said: Rav 4 Old Model inauzwa Million 13.5 ipo katika hali nzuri Nicheki kwa 0718234465 View attachment 491213View attachment 491215View attachment 491216View attachment 491229View attachment 491230View attachment 491231 Click to expand... 9m mkuu ipo
Mzungujr said: Rav 4 Old Model inauzwa Million 13.5 ipo katika hali nzuri Nicheki kwa 0718234465 View attachment 491213View attachment 491215View attachment 491216View attachment 491229View attachment 491230View attachment 491231 Click to expand... 9m mkuu ipo