Nauza Perfume

Pata perfume za kike na kiume toka sweden kwa 72000Tsh. Mawasiliano 0715 935899
 
Haa! Hakyamungu kama kutotumia pafume ya bei hyo ni umburula basi Mimi number 1. Ila instagram kungekua kuna uwezekano Wa kupost habari basi hii kule ndio kwake ucjari mkuu watakuja ila nashauri uende pia kwenye jukwa la biashara
 
noma sana..mwanangu anasemaga mama nimepuliza paisumu yakoooooo hahah...naona hii angenitoa machozi ..mkuu kipato cha karne si wasakatonge hatuiwezi
 
noma sana..mwanangu anasemaga mama nimepuliza paisumu yakoooooo hahah...naona hii angenitoa machozi ..mkuu kipato cha karne si wasakatonge hatuiwezi

Unaona sasa hizo zako mpaka zinahatarisha afya ya mtoto. Ukinunua hiyo utazingatia "away from reach of children" !!!!
 
Pata perfume za kike na kiume toka sweden kwa 72000Tsh.

Mawasiliano 0715 935899
Mkuu sasa bei hiyo bila picha wap na wapi tuwekee picha tusije uziwa mbuzi kwnye gunia bure

Cc CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sasa bei hiyo bila picha wap na wapi tuwekee picha tusije uziwa mbuzi kwnye gunia bure

Cc CYBERTEQ
unataka kununua unyunyu best? huyu muuzaji ana walakini, anashindwa hata kusema ni brand gani!!!
btw, huwa unatumia perfume gani vile?
 
unataka kununua unyunyu best? huyu muuzaji ana walakini, anashindwa hata kusema ni brand gani!!!
btw, huwa unatumia perfume gani vile?

Uhuhuuu unataka kuniletea natumia perfume inaitwa active woman
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…