ozzy isayah
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 488
- 302
Ni za jinsia gani?
Vipi hazivutii majini????
Sasa ungezianisha na ungeweka beiKuna za wanaume na wanawake......
Kuhusu majini sijawah sikiaa kitu kama hicho
Unahitaji jini mkuu?Ni za jinsia gani?
Vipi hazivutii majini????
Yes mkuu liwe jikeUnahitaji jini mkuu?
Sasa ungezianisha na ungeweka bei
Nipe no zako za simu
Hahahahaha mkuu ukishapigaa kule njoo uweke oda[emoji16][emoji16]Mkuu nikajua uko tu kwenye jukwaa letu lile la wazee wa...
Bei nimeweka ni 40 eachWeka na bei zake
Kama lina zoteYes mkuu liwe jike
Sasa ungezianisha na ungeweka bei
Ilo sio poa mzee babaKama lina zote
Ndio muonekano wa kike sasa anaoIlo sio poa mzee baba
Lisije likanishona pipe mzeeNdio muonekano wa kike sasa anao
Hilo apo mkuu, jini originaleeeYes mkuu liwe jike
Asante chiefBei nimeweka ni 40 each