House4Sale Nauza nyumba

ibuo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
464
Reaction score
439
Nauza nyumba iliyopo g.mboto-ulongoni A iko vizur umeme,maji,vyumba vinne vya kulala,sebule,jiko,store,bei milioni 35,contact 0717000650
 
jamani nlikua nje ya network
 
Nauza nyumba iliyopo g.mboto-ulongoni A iko vizur umeme,maji,vyumba vinne vya kulala,sebule,jiko,store,bei milioni 35,contact 0717000650
 
Duhhh,aisee hiyo nyumba ua Banda?
Halafu subiria manispaa waje,maana unachafua mazingira,hata shimo la choo cha maji ya bafu hakuna,badala yake umetoa Tundu nje,mabati yanatofautiana
Halafu umezuiliwa kuingia ndani ya nyumba umepiga picha kiwizi wiziiiiiiiii
 
dahh jamaa una dharau sana
 
Wakuu kwa mwenye kutaka kiwanja bei kuanzia milioni 3.5 maeneo ya mbagala vikindu piga Simu 0713 632 207
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…