David ayeya Member Joined Feb 3, 2021 Posts 33 Reaction score 42 Oct 20, 2022 #1 Nyumba ipo Chanika mwisho wilaya ya ilala DSM Ina chumba kimoja chenye ukubwa wa futi14 kwa14 na fremu ya biashara moja pia yenye ukubwa wa futi14 kwa 14. Imekamilika kila kitu pamoja na tiles Ipo kwenye barabara ya mtaa na ni sehemu nzuri ya biashara hususan biashara ya hardware au duka la vyakula Pia pembeni yake kuna boma ambalo bado sijapaua la vyumba2, sebule dining na jiko pamoja na choo cha ndani. Ipo karibu na barabara ya lami. Ukubwa wa eneo ni mita16 kwa mita16. Vyote kwa pamoja nauza sh. Mil.17 Mawasiliano yangu 0689894403. Mali ni yangu mwenyewe hamna dalali.
Nyumba ipo Chanika mwisho wilaya ya ilala DSM Ina chumba kimoja chenye ukubwa wa futi14 kwa14 na fremu ya biashara moja pia yenye ukubwa wa futi14 kwa 14. Imekamilika kila kitu pamoja na tiles Ipo kwenye barabara ya mtaa na ni sehemu nzuri ya biashara hususan biashara ya hardware au duka la vyakula Pia pembeni yake kuna boma ambalo bado sijapaua la vyumba2, sebule dining na jiko pamoja na choo cha ndani. Ipo karibu na barabara ya lami. Ukubwa wa eneo ni mita16 kwa mita16. Vyote kwa pamoja nauza sh. Mil.17 Mawasiliano yangu 0689894403. Mali ni yangu mwenyewe hamna dalali.
David ayeya Member Joined Feb 3, 2021 Posts 33 Reaction score 42 Oct 20, 2022 Thread starter #2 Nilisahau picha ndio hiyo hapo
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,659 Reaction score 21,386 Oct 24, 2022 #3 Sababu za kuuza
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,088 Reaction score 72,506 Oct 24, 2022 #4 kawombe said: Sababu za kuuza Click to expand... Hana sababu
Mnyiramba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,207 Reaction score 3,297 Oct 25, 2022 #5 kawombe said: Sababu za kuuza Click to expand... Ili apate pesa