Weka bei acha kuwachosha wasomaji.au tuwasiliane kwa namba hizo.bei yangu ni nzuri sana njoo tuzungumze
Naona Bia yetu umeamua kwa makusudi kabisa kuwashambulia wapinzani wako sehemu zote! Nchi kavu, majini na angani!! Umetisha sana. Unastahili kuongezewa posho aisee.
Viti maalumu ni kwa ajili ya ke au Bia yetu ni ke?
Kila kitu unafanya siasa!!! Usituchoshe!!!Chadema hadi kwenye biashara mnapinga ?