ni maeneo ya mbauda ccm opposite na ofisi ya ccm, ziko mbili, moja self na nyingine ya vyumba vitatu kwenye uwanja mmoja, mita 50 kutoka barabara ya Oljoro, maji na umeme vinapatikana, hakuna dalali, muuzaji ni mimi mwenyewe, bei 50M, maongezi yapo, simu 0754817826