Nyumba iko nyasubi kahama ,INA vyumba vitano vya kulala na sebure moja, pia maji, umeme vinapatikana ,Ina fance ya vyumba vingine kwa nyuma ambayo imekomea kwenye lenta , eneo zima ni nusu heka , serious buyer n PM Tuongee bei ni ( milioni 16) tumeshusha price generally .
Sent using
Jamii Forums mobile app