Nauza nyumba ipo Kahama

Juru

Senior Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
136
Reaction score
38
Nyumba iko nyasubi Kahama ,ina vyumba vitano vya kulala na sebule moja, pia maji, umeme vinapatikana.

Ina fance ya nyumba ingine kwa nyuma ambayo imekomea kwenye lenta , eneo zima ni nusu heka , serious buyer ni PM.

Tuongee zaidi bei ni ( milioni 20) but tunaweza zungumza zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nyumba hii imeshuka bei 16 million tshs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba iko Nyasubi Kahama ,Ina vyumba vitano vya kulala na sebule moja, pia maji, umeme vinapatikana, Ina fance ya vyumba vingine kwa nyuma ambayo imekomea kwenye lenta , eneo zima ni nusu heka , serious buyer ni PM Tuongee bei ni ( milioni 16) tumeshusha price generally .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…