Nauza NYUMBA, Bei maelewano,

Duh!hilo gorofa lako ni la ajabu sana,upana wake unanitia shaka sena!!
 
lift au ngazi zipo kwa pande ipi? nahitaji kwa kufugia nyuki
 
mimi nilijua ni mathematic set box imefanana na ghorofa
 
sasa huko kwenye kagorofa kunafikiwaje?kuna lift au ngazi? mh dunia ina mambooo!! kituko juu ya kingiene duuu!!!
 

wateja wa nyumba hii wanafahamika. zaidi ya Ritz, nani ataulizia nyumba hiyo yenye rangi za kijani na njano? ungesema unauza kiwanja tena baada ya kuvunja na kupoteza rangi hizo hapo ungepata wateja wenye akili
 
ofisi za chama hizi. happ juu chumba cha kwanza anakaa mchumi daraja la kwanza halafu inayofuatia anakaa nepi
 
Bei plz. ipo maeneo gani? size ya kiwanja? funguka zaidi....:target::target::target:
 
Duh haya bana kila mtu sasa atakuwa na gorofa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…