Nauza simu aina ya Nokia Lumia 520, imetumika kwa muda wa miezi miwili lakini bado iko katika hali nzuri kabisa na haina tatizo lolote.
Bei: 220,000/=
Mawasiliano: niPM au nipigie simu namba 0659220493
Baadhi ya specification zake ni:
OS: Windows 8
Internal Storage:8GB
Camera: 5MP
Inasupport 3G