hahaa wako sharp mzee unaweza kuwajengea cage yaoMtaani kwetu na mipaka ile inayokula hadi kuku, hamu sina!
kila baada ya mwez mmoja na nusu mayai mawili yaan hapo kutaga kulalia na kila kituWametaga mara ngapi?
uko sqhihi kabisa mkuu sio lazima ununue kila mtu na hob yake we ni mpenz wa jogoo kanunue jogoo mpenzi wa njiwa atanunua njiwahiyo 50k
napata jogoo moja shababi kabisa la 15000 na makoo 3 wa 12000 naanza maisha
hawa ni kama kuku wa kizungu sio tausi ni njiwa +taus cross breading asili yao sio hapa ni nje ya nchiHivi tausi tunaruhusiwa kufuga Nlijua ni nyara ya serikali
Ova
Ok...asante kwa kunihabarishahawa ni kama kuku wa kizungu sio tausi ni njiwa +taus cross breading asili yao sio hapa ni nje ya nchi
.....kupanga ni kuchagua, kuna mwenzio hiyo 50k anamlipia demu nauli amletee 'mzigo' !hiyo 50k
napata jogoo moja shababi kabisa la 15000 na makoo 3 wa 12000 naanza maisha
....daah ila unawafuga kishida shida !hawa ni kama kuku wa kizungu sio tausi ni njiwa +taus cross breading asili yao sio hapa ni nje ya nchi
Mkuu hapa Dar mujini,hiyo 50k
napata jogoo moja shababi kabisa la 15000 na makoo 3 wa 12000 naanza maisha
[emoji23][emoji23]Mtaani kwetu na mipaka ile inayokula hadi kuku, hamu sina!
....daah ila unawafuga kishida shida !
nakutumia kwa bus boss iringa nishatuma sanaamie wa mkoani nawapataje?. unao wa rangi ipi?
kuna njiwa original na fake njiwa original shingo inacheza cheza na manyonya meng mkian na mkia unachanua googlr american fan tail pigion uone bei yake ya duniaSokoni tandika DSM 25000