makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,450
- 108,529
Buku buku tuGharama yake?
Nikuletee ngapi, hakuna mambo ya kila la kheri hapa mzee.Kila la kheri mkuu
Zimeisha, wakati mwingine usisite, popote pale ulipo nitakutumia,gharama za usafiri zikiwa kubwa naweza kukupunguzia bei isile saana kwako.Ningekuwa Da'slam ningekutafuta.
Nitaangalia namna ya kukupata makaveli10Buku buku tu
Kumbe nilisahau kuweka namba 😂😂 nimeiweka hapo juuNitaangalia namna ya kukupata makaveli10
Shukrani saana, karibu.Kila la kheri