Liquid protector
Hakika mkuu.Liquid protector ni uzushi. Bora uweke protector ya kawaida. Wachina wanajua namna ya kutufanya wajinga.
kaka vip? nina laki mbili vipi siwezi pata hiyo nano liquid coating machine?Full package inakuja na
1. machine 2
2. power bank
3. usb 2
4. chupa za kusafishia 2
5. wipes
6. speaker
7. gloves
8. torch 2
9. nano liquid chupa 6
10. aromatherapy chupa 2
Location: Ilala, Kariakoo
Delivery :
Kwawalio Mkoani tunaagiza kwa Basi
Call:0743488348
WhatsApp:0657420649View attachment 1352840View attachment 1352841View attachment 1352843
Sent using Jamii Forums mobile app