Unaweza kuongea na dereva toyo au carry mkaelewana.Nipo maeneo ya airport...usafiri unakuwaje??
Kigogo mwisho ( mkwajuni).
Barabara ya kuelekea matumbi
Nikufatie.Ndugu serious nahitaji mkaa...!!lkn kutoka kuufuata siwezi coz nko peke yangu hp ofisin....tunafanyaje??
UPDATE
Kutokana na price competition, nimeamua kupunguza price ya mkaa wangu kwa TZS 4000/=.
So, Bei mpya ya mkaa ni TZS 23,000/= Tu.
More information...? Njoo PM (uwe serious)
Ni mkaa wa Njombe
Bei ni TZS 27,000 kwa gunia moja.
Mkaa unawaka vizuri.
Bei itapungua endapo mteja atahitaji gunia zisizo pungua 10.
Gharama ya usafiri itamuhusu mteja.
Napatikana
Mkoa: DAR ES SALAAM,
Wilaya: Kinondoni,
Kata: Kigogo
Mtaa: Mkwajuni
Kwa mawasiliano zaidi njoo PM.
View attachment 1287744