Habari zenu ndugu zangu,ninawaletea bidhaa yangu ya mchele nauza mwenyewe, ni mchele safi na salama usio na mawaaa....
Nauza kwa kilo bei tofautitofauti ya 1800/= pia kuna wa kilo 1400/=
Nipo DSM lakini kwa walio mkoani nitakutumia, pia kwa uliye DSM nitakuletea ulipo.
Bei 1800/=
Bei 1400/=