K kdany Senior Member Joined Jul 20, 2012 Posts 149 Reaction score 25 Jul 13, 2017 #1 habari, wakuu nauza mbao aina ya pines,zipo mafinga natafuta mteja hasa dar es salaam bei ni nzuri. zipo aina kama ifuatavyo; 1*8 2*4 2*6 2*3 1*6 1*4 2*2 karibu inbox ni kwa wateja walio serious.
habari, wakuu nauza mbao aina ya pines,zipo mafinga natafuta mteja hasa dar es salaam bei ni nzuri. zipo aina kama ifuatavyo; 1*8 2*4 2*6 2*3 1*6 1*4 2*2 karibu inbox ni kwa wateja walio serious.
M Matango nyama New Member Joined May 8, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Jul 14, 2017 #2 Mambo vp mkuu, naomba bei zake. mimi natamani kufanya hio biashara ila bado napima maji Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Mambo vp mkuu, naomba bei zake. mimi natamani kufanya hio biashara ila bado napima maji Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app