Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Jumla je !? Walau kuanzia 5,ltrs ! Unafanya delivery ? Bei Ni kubwa Sana !
Duh! Maisha dar yapo juu sana mimi huku nilipo nanunua maziwa 1litre sh 700 ya ng'ombe wa kienyeji maeneo fulani hivi handeni vijijini
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Kuifenda mbe/ma?Moshi machame Lita sh 500 unashangaa Mia saba
Taaghi ingai ro mbeMoshi machame Lita sh 500 unashangaa Mia saba
Unauza yapo katika hali ipi?
Tangazo lako limetoa bei tu ila hujazungumza quality, package n.k
Huku hakuna maziwa yalitiwa maji, hutomuuzia mtu, kuna wafugaji wengi hasa wamang'atiUna uhakika ni maziwa?
first grade[emoji3]Ni first grade fresh milk , no water added
Packaging: Ni hizi gallon za 5 liter
Usafi, umezingatiwa.
Huku hakuna maziwa yalitiwa maji, hutomuuzia mtu, kuna wafugaji wengi hasa wamang'ati