Nauza mayai

Joined
Jun 18, 2017
Posts
6
Reaction score
2
Mayai yanapatikana kwangu tray 1 @8000/= ukichukua tray 10 na kuendelea bei @7500/= na ukiwa mteja wetu wa kila siku kwa muda wa kuzidi miezi miwili bei tutakupunguzia kuwa tray 1 @7000/=

Tunapatikana kigamboni

Mawasliano: 0629550078

KARIBUNI SANA...
 
Mkoani unatuma ?
 
Mayai ya nani? Wakisasa wa kienyeji?
 
Mkuu mletamada, ndege,reptilia,amphibia na samaki hutaga mayai. Unauza mayai ya nini hasa? Kama ni ndege/samaki/reptilia/amphibia, ni yupi na ni wa aina gani? Fafanua Mkuu tuelewe
 
Mkuu nayataka kwa bei ya jumla.
 
Khaaa, mi nilifikiri ni mayai ya kupandikiza wanaume wa Dar ili wawe na mbegu wakati wa gegedo, kumbe ya kuku? Nina wateja wengi sana wanakwenda India hivi karibuni kupandikiza mbegu za uzazi wakitokea huko Dar.
 
Duh mayai ya kupandikiza ndyo yauzwe per tray? Duh I can imagine yatavokuwa yanapangwa Kwa hilo tray[emoji1] [emoji1]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…