Nauza Mashuka

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,467
Reaction score
65,789
Guys hamjambo?

Baada ya kufukuzwa kazi nikachukua hela nikaaza biashara humu najua mpo watu mnatafuta mashuka mazuri na hamjayapata sasa mimi nimewaletea bei kitonga 52000 unaletewa mpaka ulipo mkoani tunatuma.

Mwachiluwi anawakaribisha wote wenye mapenzi mema

Usikubali kulalia shuka moja miezi sita usikubali njoo nikuuzie bhna tena nakuletea mimi mwemyewe simpi kijana wangu akuletee




 
[mention]Dr Lizzy [/mention] njoo uone mambo yak huku
 
Mchina?
 
Hapo chumbani kwako ndugu, au picha za mtandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…