G Glory Theophil Member Joined Feb 4, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Feb 5, 2018 #1 Nauza mashudu kwa ajili ya mifugo ,anahitaji awasiliane nami kupitia namba 0655460953 karibuni wote
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,604 Feb 5, 2018 #2 Kilo moja bei gani,na unapatikana wapi?
G Glory Theophil Member Joined Feb 4, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Feb 5, 2018 Thread starter #3 zwenge ndaba said: Kilo moja bei gani,na unapatikana wapi? Click to expand... kilo moja/shilingi 400 na nipo Moshi ,pia mikoani tunatuma kama unachukua magunia zaidi ya mawili
zwenge ndaba said: Kilo moja bei gani,na unapatikana wapi? Click to expand... kilo moja/shilingi 400 na nipo Moshi ,pia mikoani tunatuma kama unachukua magunia zaidi ya mawili
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,604 Feb 5, 2018 #4 Ntakutafuta naitaji kwa ajili ya samaki
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,604 Feb 5, 2018 #5 Gunia bei gani?
G Glory Theophil Member Joined Feb 4, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Feb 5, 2018 Thread starter #6 zwenge ndaba said: Gunia bei gani? Click to expand... 40,000/= lina kilo mia
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,367 Feb 5, 2018 #7 Hivi na sumu unauza pia....maana nina wanyama wengine wanaudhi sana mkuu.
ROKY Senior Member Joined May 4, 2011 Posts 182 Reaction score 70 Feb 5, 2018 #8 Glory Theophil said: Nauza mashudu kwa ajili ya mifugo ,anahitaji awasiliane nami kupitia namba 0655460953 karibuni wote Click to expand... Hayo ni mashudu ya zao gani (mbegu za pamba, alizeti, sim-sim, etc) ?
Glory Theophil said: Nauza mashudu kwa ajili ya mifugo ,anahitaji awasiliane nami kupitia namba 0655460953 karibuni wote Click to expand... Hayo ni mashudu ya zao gani (mbegu za pamba, alizeti, sim-sim, etc) ?