mama jason Member Joined Sep 6, 2013 Posts 40 Reaction score 2 Apr 19, 2014 #1 Habari zenu wanajamvi nauza mashine ya selcom ipo katika hali nzuri kwa anayeihitaji anipm thanx
legend07 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 333 Reaction score 137 Apr 19, 2014 #2 mama jason said: Habari zenu wanajamvi nauza mashine ya selcom ipo katika hali nzuri kwa anayeihitaji anipm thanx Click to expand... Unauza bure
mama jason said: Habari zenu wanajamvi nauza mashine ya selcom ipo katika hali nzuri kwa anayeihitaji anipm thanx Click to expand... Unauza bure
mama jason Member Joined Sep 6, 2013 Posts 40 Reaction score 2 Apr 19, 2014 Thread starter #3 legend07 said: Unauza bure Click to expand... Laki tatu
B BARADIGE Member Joined May 22, 2014 Posts 71 Reaction score 32 Apr 17, 2015 #4 hata mawasiliano hujawek
GREATTHINKERDAIMA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 232 Reaction score 46 Apr 17, 2015 #5 nina laki 1, unasemaje?
Sauli JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 421 Reaction score 577 Apr 17, 2015 #6 mama jason said: Laki tatu Click to expand... sasa laki3 si bora nkachukue mpya ofisini kwao.., hiyo tafuta boya ndo utampata, anayejua bei halisi hatothubutu
mama jason said: Laki tatu Click to expand... sasa laki3 si bora nkachukue mpya ofisini kwao.., hiyo tafuta boya ndo utampata, anayejua bei halisi hatothubutu
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,235 Reaction score 24,008 Apr 18, 2015 #7 mpya inapatika kwa laki tano ikiwa laki mbili za kutumia na laki tatu za mashine