mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 828
Mimi naitaka, ila piga picha kwanza alafu tuongee zaidiNauza mashine ya kudarizi na kushona yaani inauwezo wa kushona na kudarizi
Ni rangi ya kahawia,aina ya Singer!
Inauzito kama kilo 7 mpaka 8
Inatumia umeme,japo unaweza kuamua sido wakuwekee itumie miguu tuu,
Inataa ndogo inayokuwezesha kutunga Uzi Hata kama ni usiku
Kizuri zaidi haihitaji miguu unaweka mezani na unaendelea na kazi yako,
Pia ni imara Sana, itarudisha mara mbili hadi tatu ya pesa iliyonunulia
Bei ni 250000 tuu!popote unatumiwa ndani ya Tanzania!
Jamani naruhusiwa kuitumia hii namba yako ya simu kwa mambo yetu yale?[emoji1]Nitafute watsaap 076560028
imeshauzwa mashine ya kudariziUnayo overlock machine?
Jamani hii ishauzwa tayaribei 0652393263
Ndio ishauzwaChief mashine imeshauzwa?,nahitaji sana hiyo mashine ili niongeze kiwanda na kuunga sera ya chama cha kijani!!
Hakuna nyingine ili tufanye biashara?Ndio ishauzwa
Ndio mkuu hakunaHakuna nyingine ili tufanye biashara?
Sawa bosi!!Ndio mkuu hakuna
Mkuu Kwa madukani mashine za kudarizi (Dar) zinapatikana mtaa upi.Pia Huwa kuna za mtumba?Ndio mkuu hakuna
Dar es Salaam sijajua Mtaa gani, Ndio za mtumba ndo nimekutana nazo Sana.Mkuu Kwa madukani mashine za kudarizi (Dar) zinapatikana mtaa upi.Pia Huwa kuna za mtumba?
Sent using Jamii Forums mobile app