S supermama Member Joined Jul 11, 2015 Posts 29 Reaction score 2 Nov 18, 2015 #1 Habari wanaJF, Nauza mashine yangu ya juice ya miwa, bei 450,000, mazungumzo yapo. Napatikana Tanki bovu, Mbezi - 0715895656..
Habari wanaJF, Nauza mashine yangu ya juice ya miwa, bei 450,000, mazungumzo yapo. Napatikana Tanki bovu, Mbezi - 0715895656..
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,627 Reaction score 59,762 Nov 18, 2015 #2 Badilisha heading inasomeka juice ya maziwa
S supermama Member Joined Jul 11, 2015 Posts 29 Reaction score 2 Nov 18, 2015 Thread starter #3 Ahsante
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 752 Reaction score 154 Nov 18, 2015 #4 ingesaidia kuvutia watu kama ungeweka picha ya hio machine
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 752 Reaction score 154 Nov 18, 2015 #5 vile vile muda uliomaliza nayo ikifanya kazi na capacity yake
J jigili JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 351 Reaction score 347 Nov 18, 2015 #6 Kama alivyosema Ngamba picha muhimu pamoja na specification zake ili wadau waitathmini kuliko kuandika tu! unauza mashine ya juice ya miwa haelewiki aina gani au uwezo wake upoje?
Kama alivyosema Ngamba picha muhimu pamoja na specification zake ili wadau waitathmini kuliko kuandika tu! unauza mashine ya juice ya miwa haelewiki aina gani au uwezo wake upoje?
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,442 Nov 18, 2015 #7 inatumia umeme au mkono?
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,893 Reaction score 10,123 Nov 19, 2015 #8 kayaman said: inatumia umeme au mkono? Click to expand... Duhh,aisee hii kali,hata ya umeme si hadi unatumie mkono kuwasha swichi na kuweka Muwa. Any way,mie ningeuliza hivi Hiyo Mashine yako ni Automatic au Manual ? Hee,hii nayo naona kama inachanganya pia,haya tumeeeleweka
kayaman said: inatumia umeme au mkono? Click to expand... Duhh,aisee hii kali,hata ya umeme si hadi unatumie mkono kuwasha swichi na kuweka Muwa. Any way,mie ningeuliza hivi Hiyo Mashine yako ni Automatic au Manual ? Hee,hii nayo naona kama inachanganya pia,haya tumeeeleweka
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,893 Reaction score 10,123 Nov 19, 2015 #9 black sniper said: Badilisha heading inasomeka juice ya maziwa Click to expand... Hahaha,duhh aisee kweli kiboko. Isije kuwa Juice ya Maji
black sniper said: Badilisha heading inasomeka juice ya maziwa Click to expand... Hahaha,duhh aisee kweli kiboko. Isije kuwa Juice ya Maji
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,627 Reaction score 59,762 Nov 19, 2015 #10 Zanzibar Spices said: Hahaha,duhh aisee kweli kiboko. Isije kuwa Juice ya Maji Click to expand... Kkkkkk umeona eee
Zanzibar Spices said: Hahaha,duhh aisee kweli kiboko. Isije kuwa Juice ya Maji Click to expand... Kkkkkk umeona eee
Elijah JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 1,663 Reaction score 424 Nov 19, 2015 #11 Bado nzima??naihitaji
F fukunyungu JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 717 Reaction score 195 Nov 19, 2015 #12 Na kwa nini unauza?
M masanja120 Member Joined Nov 7, 2015 Posts 30 Reaction score 5 Nov 19, 2015 #13 Weka picha yake pls