M mand1312 Member Joined Aug 3, 2017 Posts 12 Reaction score 2 Dec 7, 2017 #1 Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma. Shamba lipo kilimanjaro ila mikoani tunaleta kutokana na order . Kwa mawasiliano zaid 0713879793/ 0766532505
Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma. Shamba lipo kilimanjaro ila mikoani tunaleta kutokana na order . Kwa mawasiliano zaid 0713879793/ 0766532505
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Dec 7, 2017 #2 Ngoja waje wachoma mahindi
Singidan JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 878 Reaction score 944 Dec 7, 2017 #3 mand1312 said: View attachment 645934 Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma. Shamba lipo kilimanjaro ila mikoani tunaleta kutokana na order . Kwa mawasiliano zaid 0713879793/ 0766532505 Click to expand... Mkuu hiyo ni aina gani ya mbegu umetumia?
mand1312 said: View attachment 645934 Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma. Shamba lipo kilimanjaro ila mikoani tunaleta kutokana na order . Kwa mawasiliano zaid 0713879793/ 0766532505 Click to expand... Mkuu hiyo ni aina gani ya mbegu umetumia?
M mand1312 Member Joined Aug 3, 2017 Posts 12 Reaction score 2 Dec 8, 2017 Thread starter #4 ABDUL sungita said: Mkuu hiyo ni aina gani ya mbegu umetumia? Click to expand... Pana
P Pascalzebalozi Member Joined Sep 30, 2015 Posts 73 Reaction score 20 Dec 8, 2017 #6 Ukiuza mabichi si ni hasara? Haya yanapatikana wap? Bei ikoje?
SOSDANNY JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 453 Reaction score 444 Dec 8, 2017 #7 Pascalzebalozi said: Ukiuza mabichi si ni hasara? Haya yanapatikana wap? Bei ikoje? Click to expand... Hakuna hasara hapo, kama atachanga karata zake vizuri na wanunuzi wanaoelewa, na kama ni PANAR 4M19, Hayo ni safi Sana kwa kuchoma ni matamu Sana.
Pascalzebalozi said: Ukiuza mabichi si ni hasara? Haya yanapatikana wap? Bei ikoje? Click to expand... Hakuna hasara hapo, kama atachanga karata zake vizuri na wanunuzi wanaoelewa, na kama ni PANAR 4M19, Hayo ni safi Sana kwa kuchoma ni matamu Sana.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,437 Dec 8, 2017 #8 Hayo mahindi yakivunwa yanafika Dar baada ya wiki 2 ndiyo maana yanaliwa kwa ndimu na chumvi
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 3,088 Reaction score 4,094 Dec 8, 2017 #9 Pascalzebalozi said: Ukiuza mabichi si ni hasara? Haya yanapatikana wap? Bei ikoje? Click to expand... Unapouza mabichi ndo unatengeneza faida Kwa yeyote anayelima mahindi ya kumwagilia huwa anauza mabichi kwa akili ya kuchoma ndo faida inapatikana Ila ukiacha yakauke ni hasara kubwa sana
Pascalzebalozi said: Ukiuza mabichi si ni hasara? Haya yanapatikana wap? Bei ikoje? Click to expand... Unapouza mabichi ndo unatengeneza faida Kwa yeyote anayelima mahindi ya kumwagilia huwa anauza mabichi kwa akili ya kuchoma ndo faida inapatikana Ila ukiacha yakauke ni hasara kubwa sana