Hamidu Mindu
Member
- Apr 14, 2017
- 38
- 27
Mkoa gani?hiyo bei yako iko juu sana huku mahindi ni 500 @kg
ArushaMkoa gani?
Sawa ila mm niko Dar es salaamArusha
Na mzigo uko DarArusha
Wasiliana na Jamaa wa Chibuku Mkuu, wapo Ubungo. Wao wananunua unga wa dona. So, unawasagia na kuwakabidhi mzigo.Mahindi tani 400 ziko tabata warehouse zinauzwa bei Tsh. 600 / kg.
Available maize 400 tons at a tabata warehouse- Dar es salaam , price Tsh. 600/kg.
+255652601602 (whatsApp & call )
AhsanteWasiliana na Jamaa wa Chibuku Mkuu, wapo Ubungo. Wao wananunua unga wa dona. So, unawasagia na kuwakabidhi mzigo.
600@kg??? . Nafanya packaging ya Unga Dsm leo nimenunua mahindi ya Dodoma 490@kg....Mahindi tani 400 ziko tabata warehouse zinauzwa bei Tsh. 600 / kg.
Available maize 400 tons at a tabata warehouse- Dar es salaam , price Tsh. 600/kg.
+255652601602 (whatsApp & call )
Umeyanunulia wapi?600@kg??? . Nafanya packaging ya Unga Dsm leo nimenunua mahindi ya Dodoma 490@kg....
bei ndo tatizo hapo mkuuNa mzigo uko Dar
Nitakuuzia kwa Tsh. 520/kgbei ndo tatizo hapo mkuu
Nimeletewa mashineni kwangu....Umeyanunulia wapi?
Hata hiyo bei yako pia iko juu sana hapa Geita wanauza kwa shilingi 250 per kilogramhiyo bei yako iko juu sana huku mahindi ni 500 @kg
Huko Geita huku Dar ni hiyo bei yako ni uongoHata hiyo bei yako pia iko juu sana hapa Geita wanauza kwa shilingi 250 per kilogram
Usiwe mbishi wewe geita mahindi mapya yashaingia sokoni tayari. Nyie wenye stock jiongezeni. Wengine tushauza japo kwa hasaraHuko Geita huku Dar ni hiyo bei yako ni uongo