Kwa yeyote mwenye kuhitaji mahindi meupe naomba tuwasiliane.
Kiasi ni kulingana na mahitaji Yako ila si chini ya Tani 30.
Bei pia ni kulingana na bei ya soko Kwa wakati husika.
Nashauri kama mzoefu wa biashara za mitandaoni:-
1. Weka bei kwa kila ujazo.
2. Weka bei kwa kila mteja mkubwa.
3. Weka mawasiliano yako.
4. Weka location.
5. Tupia na kapicha ka mahindi hata debe moja.
Na Zambia wamefunga mipaka[emoji848] tubanane humuhumu mpaka ile bei yetu ya zamani tuliyoizoea ya debe la mahindi kwa Tsh. 3500/= irudi Tena. [emoji3061]